FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

Wewe Mwakarobo tulia kimataifa ya wapi mnapigwa na Mashujaa
Si kama nyie mlivyopigwa na ihefu tu, usisahau sasa hivi hilo jina la mwakarobo ni letu sote, kwahiyo unatakiwa uwe specific
 
Mtafute mnyaturu yeyote muulize atakupa jibu. Onyo sio Kila mtu anayetaka singida au Kondoa ni myaturu,maana mjini mnachanganya
Wifi yako ni Mnyaturu ngoja nimuulize akinipa jibu nitakwambia
 
Mimi binafsi

Namchukia FREDDY na uchezaji wake namchukia Sanaa
 
Si kama nyie mlivyopigwa na ihefu tu, usisahau sasa hivi hilo jina la mwakarobo ni letu sote, kwahiyo unatakiwa uwe specific
Wewe Mwakarobo wa muda wote unapigwa nje ndani unapigwa tena ndani na leo Ihefu anawatekenya tena ili mcheke vizuri
 
Kama itatokea timu itakayocheza na sisi Yanga kama hawa tunaowatazama hapa.

Basi wajiandae kwa dhahama ya magoli mengi sana.
 
Wewe Mwakarobo wa muda wote unapigwa nje ndani unapigwa tena ndani na leo Ihefu anawatekenya tena ili mcheke vizuri
Kufungwa ni kufungwa tu hakuna cha nje wala ndani, wote tumetolewa tumeishia robo, hivyo wote ni kina mwakarobo fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…