Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hamna namna Mkuu.Imenisikitisha mno😭😭😭😂😂🤣🤣😁
Tugange yajayo bado mechi 26 kama sijakosea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna namna Mkuu.Imenisikitisha mno😭😭😭😂😂🤣🤣😁
KimewarambaaaaaLeo kimeumana[emoji24]
🤣🤣🤣Tuliwaambia Elmereikh walikua na stress na njaaa...
Hahahahahh
Daaah Mpira umechezwa dakika 75 dakika zingine zote zimepotezwa na Ihefu
Wachambuzi watampumzisha Robertinho kwa muda.Lawama zote kwa Kocha hakuonyesha kuwaheshimu wapinzani
Hamna namna Mkuu.
Tugange yajayo bado mechi 26 kama sijakosea.
Kabisa tujipange mechi ya mwanzaHamna namna Mkuu.
Tugange yajayo bado mechi 26 kama sijakosea.
Heheheeerrree rararaaaaa Ihefu FUHEIHahahhahahahhahahahahahhahahahaa
Haaahaaaaa
Hahahaaa.....kujifanya kikosi kipana nyoooo utopolo bhnTuliwaambia Elmereikh walikua na stress na njaaa...
Hahahahahh
Tuliwaambia haijaisha mpk iishee...Na tuliwakanya...
Sisi wanayanga hakuna anayemlaumu kocha PEP anafungwa sembuse yangaNajua watu mtamlaumu Kocha,ila sizani kama anastahili huu mpira kila mchezaji lazima achezee, Ihefu wametufundisha kitu hasa kwenye mipira ya kaunta walikuwa bora,tushapigwa tujiandae na mechi nyingine.
Umeshindwa kushiba kwenye sufuria ndio uje ushibe kwenye kijiko?Kwa muda waliopoteza Ihefu zilitakiwa ziongezwe hata dk 13.
Alikosa alipoamua akiaminimkikosi kilichoingia mwanzoniGamondi anakwambia the Pitch is not good [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]