Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
😂 😂 😂Yanga yangu...😂
Mjinga uyo kikosi kibovu anaanz nacho alizan tunacheza na wale wa 5GGamondi anakwambia the Pitch is not good [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
chomoeni mwiko sasa kama mnajeuri imekula kwa mtu leo,tuseme imeenda hiyoooooUmeishaaaaaaaaaaaaaaa
Wamewaeleza[emoji16][emoji16]Yaani leo ndo watatueleza ule ushindi waliupataje pataje.
Hakika Swahiba.Ile rotation ya kikosi imetufunga wenyewe Yanga,ila ndio mpira we win together we lose together
Tuliwaambia haijaisha mpk iishee...
Aache ujinga. Makosa ni ya kwake. Hakuwa na sababu ya kuanza na wachezaji ambao wengi wao hawakuwa na match fitness.Gamondi anamzonga Refa
Comment ya kishujaa sana hiiIle rotation ya kikosi imetufunga wenyewe Yanga,ila ndio mpira we win together we lose together
Mkuu punguza matusi...chomoeni mwiko sasa kama mnajeuri imekula kwa mtu leo,tuseme imeenda hiyooooo
Nasikia amerusha na ngumi [emoji23][emoji23]Gamondi anamzonga Refa
Gamondi kazingua sana aisee.
Mechi ngumu kama hii anaanzisha wachezaji midebwedo.