FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Najua watu mtamlaumu Kocha,ila sizani kama anastahili huu mpira kila mchezaji lazima achezee, Ihefu wametufundisha kitu hasa kwenye mipira ya kaunta walikuwa bora,tushapigwa tujiandae na mechi nyingine.
Sina lawama na Gamondi,aliwaamini wachezaji waliongia kipindi Cha kwanza

Wachezaji wamejifunza na yeye keshajifunza
 
Chura kamwagiwa maji hawezi kuogelea, Maajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…