FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Hatimaye fyuuu fyuuu nyoooo nyooooo KWISHNEI.....HAYA mkakojoe mlale msubiri MWANAUME KESHO....ilimfya tu kawatoa jasho NYIE Ni wazi AIBU kubwa inakuja kwa taifa kwenye CL
 
Ihefu ni wakarimu wameona kutoa magunia ya mchele ili wafiwa wasipate shida ya chakula wanaposafirisha mwili
 
Reactions: BRN
Bado sijaamini yanga ni Bora kwa kuwa Ile test halisi ya ubora hajapatikana.Gamond out!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…