FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Hatimaye fyuuu fyuuu nyoooo nyooooo KWISHNEI.....HAYA mkakojoe mlale msubiri MWANAUME KESHO....ilimfya tu kawatoa jasho NYIE Ni wazi AIBU kubwa inakuja kwa taifa kwenye CL
 
Ihefu ni wakarimu wameona kutoa magunia ya mchele ili wafiwa wasipate shida ya chakula wanaposafirisha mwili
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Hiki kikosi kikipata ushindi leo, basi tutakubaliana wote Yanga ina kikosi kipana.
Ndio ndio wazee wa upana wa kikosi
JamiiForums-2101571622.jpg
 
Back
Top Bottom