FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Sasa kama wamepatwa na usingizi wafanyaje?

Mechi inaongezwa mpaka dakika 10 muda wa jioni kabitsa na kagiza kameanza, utalawaumuje wachezaji kwa kulala wakati kulala ni tendo lisilo la kihiari?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamaa wew embu kuwa seriously
 
Sasa kama wamepatwa na usingizi wafanyaje?

Mechi inaongezwa mpaka dakika 10 muda wa jioni kabitsa na kagiza kameanza, utalawaumuje wachezaji kwa kulala wakati kulala ni tendo lisilo la kihiari?
Poa mechi ishaisha semeni yote si tumefungwa inatosha leo pikeni pilau mle..😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…