CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama wamepatwa na usingizi wafanyaje?Hata ingekuwa ni wewe kwenye ukweli tuseme ihefu imezingua ati wachezaji wanalala hovyo
Nyieee nyieee Yanga kafungwa 🤣🤣🤣🤣🤣
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamaa wew embu kuwa seriouslySasa kama wamepatwa na usingizi wafanyaje?
Mechi inaongezwa mpaka dakika 10 muda wa jioni kabitsa na kagiza kameanza, utalawaumuje wachezaji kwa kulala wakati kulala ni tendo lisilo la kihiari?
Kiko wapi sasa....Sijaona timu ya Kuifunga Young Africans msimu huu safari ya kuweka historia ya Unbeaten
Na hiyo ya 3 waipambanie sana maana sidhani kama Singida atakuwa kiande kama msimu ulioisha🤣🤣🤣Naingia chimbo mechi ya kesho Mnyama tuue mtu.
Niliwaambia tukikaa hapo juu ni mwanzo mwisho, Uto wataishia nafasi ya 3 this time. 🤣🤣🤣
Tunza Comment
AahaaaaaaZipo kwa ajili yetu 🤣🤣🤣
Ahaaaaaa,ebu posti Ile picha anayopenda post Ujuguahapa inayesema Kiko wapi!Kiko wapi sasa....
Kuna kufungwa halafu kuna kufungwa na Ihefu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Poa mechi ishaisha semeni yote si tumefungwa inatosha leo pikeni pilau mle..😅Sasa kama wamepatwa na usingizi wafanyaje?
Mechi inaongezwa mpaka dakika 10 muda wa jioni kabitsa na kagiza kameanza, utalawaumuje wachezaji kwa kulala wakati kulala ni tendo lisilo la kihiari?
We kikosi cha kimataifa unakijua achan na icho cha GamondiHii Yanga ndiyo tunayoambiwa eti itachukua ubingwa wa Afrika? Wehu Tz hii ni wengi kwelikweli
Yametukuta sasa!!!Tatizo bei tuliyowatajia bado hawajaafiki ndiyo wanashauriana
Msisite kujaribu wakati mwingine[emoji1]Kila la kheri Timu ya Wananchi.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Sema nini wenye akili kipande kile ni 2tuHii Yanga ndiyo tunayoambiwa eti itachukua ubingwa wa Afrika? Wehu Tz hii ni wengi kwelikweli
Ndio mechi ya nne tu. NACHEKA KWA DHARAUni mpira hatiwezi kushinda kila mechi
Wacha weeeee.... au sioNi haki kulipa kisasi...
Ihefu wajiandae kupokea kipondo.
Vipi umekaa juu ya nin? Uboho..?Yanga anashinda goli 3 bila niko pale nimekaa.