Kila mmoja na apambane kivyake.Sisi hatuwezi kusema yote, nyinyi ndio mtasema yote
Mtatueleza ni nani aliyekuwa anasema Simba inacheza vibaya. Ni nani alikuwa anasema Simba inashinda lakini mashabiki wake hawana furaha.
Leo ndio mtajua kipi bora. Kucheza vizuri na ukafungwa ukaondoka na huzuni na faraja ya kimafki kuwa umepambana (umecheza vizuri)
Au ucheze hovyo ila upate matokeo mazuri
Ni selection kati ya kuchagua punda au mlio wake.
Mods hawaamini macho yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ninachofurahi zaidi uzi bado una kitufe chekundu cha “LIVE” kongole sana kwa mods
KabisaYanga na Ihefu ishakua Dabi
Aisee nimefurahi sana.
Nani nimkope nikalewe??
Yaani leo ndo watatueleza ule ushindi waliupataje pataje.
🤣🤣 badala uniokoe unanitakia kheriKila la heri mtani
Najua unajua mbinu usije ukayatimba na wewe kama timu yako..🤣🤣 badala uniokoe unanitakia kheri
WoyooooooWanangu wa simba piga kelele [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Pole sanaDaaah Mpira umechezwa dakika 75 dakika zingine zote zimepotezwa na Ihefu
Huku Jf mpira unaendelea ihefu 2 - 4 dada yangaNinachofurahi zaidi uzi bado una kitufe chekundu cha “LIVE” kongole sana kwa mods
😄Itoshe kusema Uto wameyaoga....
See me at the top...
🤣🤣 Ila tukifungwa mnakua na raha furaha sana kulito timu yenu ikishinda mnabak na huzuni pamoj n kushinda furaha mnaitaftia kwetuNajua unajua mbinu usije ukayatimba na wewe kama timu yako..