KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Kila mmoja na apambane kivyake.Sisi hatuwezi kusema yote, nyinyi ndio mtasema yote
Mtatueleza ni nani aliyekuwa anasema Simba inacheza vibaya. Ni nani alikuwa anasema Simba inashinda lakini mashabiki wake hawana furaha.
Leo ndio mtajua kipi bora. Kucheza vizuri na ukafungwa ukaondoka na huzuni na faraja ya kimafki kuwa umepambana (umecheza vizuri)
Au ucheze hovyo ila upate matokeo mazuri
Ni selection kati ya kuchagua punda au mlio wake.