FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Bongo Kuiongoza Team ya Soka, ni kama kuendesha gari, lazima uangalie mbele, nyuma na pembeni yako (unaendesha Magari Matatu Hadi Manne).

Yaani unaandaa team yako, unafanya fitina Kwa wapinzani wako kushindwa ndani na nje ya uwanja, Hata Kwa mechi zisizo kuhusi Moja Kwa Moja.

Safi sana UTO kupokea kipigo
 
Hawara hatongozwi unashika mkono tu.Mambo yanaenda.Ila safari hii bikira imevunjwa mapema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…