FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Kila mmoja na apambane kivyake.
happy-dance-dancing.gif
 
Bongo Kuiongoza Team ya Soka, ni kama kuendesha gari, lazima uangalie mbele, nyuma na pembeni yako (unaendesha Magari Matatu Hadi Manne).

Yaani unaandaa team yako, unafanya fitina Kwa wapinzani wako kushindwa ndani na nje ya uwanja, Hata Kwa mechi zisizo kuhusi Moja Kwa Moja.

Safi sana UTO kupokea kipigo
 
Back
Top Bottom