Sisi ni kama Madrid na UEFA,tupo kimataifaKitimu kimecheza na wakimbizi wa Sudani eti thithi mabingwa club bingwa nyoooooko ihefu wameweka mwiko wa mpunga huko
Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Wameshaomba appointment ya kwenda Ikulu kulalamika, wengine wanaunga bando watume barua pepe kwenda CAF teh teh ihefu walikuwa wanalalala uwanjani zaidi ya nusu saa.Haya sasa Karia na Tff yake wajiandae kwa malalamiko
Hakika wamepokea kipondo.Ni haki kulipa kisasi...
Ihefu wajiandae kupokea kipondo.
Unbeaten ChaliPoints 3 magoli 3 imeisha hiyo.
Dah leo ihefu wamejiona waarabu kupoteza muda.Hahaha. Hayo ni ya kesho mkuu, ya leo ni kama ulivyoyaona.
Kwakuwa hayupo Simba Sc.?Uyu Akpan anamzidi mbali sana uwezo Fabrice Ngoma
Ulikuwa hauamini kabisa kama Yanga atapoteza.Una utoto mwingi
Pole kwa utopolo[emoji471] #NBCPremierLeague
[emoji460]️ Ihefu SC Vs Young Africans SC
[emoji414] 04.10.2023
[emoji909] Highland Estates
[emoji797] 10:00 Jioni
Matokeo ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu uliozikutanisha timu hizo kwenye Uwanja huo msimu uliopita ambapo Ihefu iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 ndio yanayoonekana kuchangia zaidi kuongeza msisimko wa mechi hiyo ya leo kwani yaliifanya Ihefu kuizuia Yanga kuweka rekodi ya kucheza mechi 49 za Ligi Kuu bila kupoteza.
Yanga inaingia katika mechi ya leo ikiwa na historia ya ubabe dhidi ya Ihefu kwani zimekutana mara nne kwenye Ligi Kuu, ikipoteza mechi moja na kuibuka na ushindi katika michezo mitatu.
Mbali na hilo, mabingwa hao watetezi wanaonekana kuwa na mwanzo mzuri katika ligi kuu msimu huu ambapo wameibuka na ushindi katika mechi zao zote tatu zilizopita dhidi ya KMC, JKT Tanzania na Namungo FC, huku wakifunga mabao 11 na kuruhusu nyavu zao kutikiswa mara mbili tu.
Ni tofauti na Ihefu ambayo katika michezo mitatu iliyopita, imepata ushindi mara moja tu na kupoteza mechi mbili, ikifunga bao moja na yenyewe imefungwa mabao mawili.
Tukutane muda huo.
Inaweza kuwa mechi ya Kisasi.
View attachment 2771681View attachment 2771682
Unapenda ugomvi 😄Hakika wamepokea kipondo.
Na ikae hivi kwa muda, Nye nye Nye zilikuwa zinatuziba masikio kwa kweli, au nasema uongo ndugu zangu?
UpoAtakula goli 4 huyo ihefu
Nipo kwenye kikao kaka
Mbarali to dar hiyo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Goooaaalllll mzize anaweka chuma cha tano hapa mbarali wananchi wanazidi kuchanja mbugaView attachment 2771758