FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Ndiyo Hivyo
Mzee Amepata Ajali, Ametoka Huko Mwendo Wa Ngiri Mkia Juu Anawahi Taa
 
Unbeaten
IMG-20231004-WA0005.jpg
IMG-20231004-WA0006.jpg
 
Leo hamna neno mtaacha kuongea [emoji23][emoji23] aah
Simba mmefarijika sana
Hata tulipokosa kombe hamkuponda kiasi hiki!!!
Mafanikio ya Yanga yanawauma wengi sana.
 
[emoji471] #NBCPremierLeague
[emoji460]️ Ihefu SC Vs Young Africans SC
[emoji414] 04.10.2023
[emoji909] Highland Estates
[emoji797] 10:00 Jioni

Matokeo ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu uliozikutanisha timu hizo kwenye Uwanja huo msimu uliopita ambapo Ihefu iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 ndio yanayoonekana kuchangia zaidi kuongeza msisimko wa mechi hiyo ya leo kwani yaliifanya Ihefu kuizuia Yanga kuweka rekodi ya kucheza mechi 49 za Ligi Kuu bila kupoteza.

Yanga inaingia katika mechi ya leo ikiwa na historia ya ubabe dhidi ya Ihefu kwani zimekutana mara nne kwenye Ligi Kuu, ikipoteza mechi moja na kuibuka na ushindi katika michezo mitatu.

Mbali na hilo, mabingwa hao watetezi wanaonekana kuwa na mwanzo mzuri katika ligi kuu msimu huu ambapo wameibuka na ushindi katika mechi zao zote tatu zilizopita dhidi ya KMC, JKT Tanzania na Namungo FC, huku wakifunga mabao 11 na kuruhusu nyavu zao kutikiswa mara mbili tu.

Ni tofauti na Ihefu ambayo katika michezo mitatu iliyopita, imepata ushindi mara moja tu na kupoteza mechi mbili, ikifunga bao moja na yenyewe imefungwa mabao mawili.

Tukutane muda huo.

Inaweza kuwa mechi ya Kisasi.


View attachment 2771681View attachment 2771682
Pole kwa utopolo
 
Back
Top Bottom