KINGDOM MONERA
Member
- Apr 17, 2023
- 78
- 54
Tate mkuu yanga alio benchi si sawa na Alie ndani imekuwaje Leo kikosi kipana Tate wanguHiki kikosi hata mimi nilikitilia mashaka tangu mwanzo. Ili tupate ushindi; Skudu, Sure Boy, Moloko, Kibwana, na Mauya wanatakiwa wapumzishwe. Hakijabalance kabisa.