3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Bado mapema sana hizi lawamaNaanza kukosa imani na huyu Gamondi, hii game ilitakiwa tuimalize kipindi cha kwanza ukizingatia matokeo ya last year kwenye uwanja huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado mapema sana hizi lawamaNaanza kukosa imani na huyu Gamondi, hii game ilitakiwa tuimalize kipindi cha kwanza ukizingatia matokeo ya last year kwenye uwanja huu.
69Dkk ya ngapi?
Ihefu huwa wako kivingine wanapocheza na Uto, Profesa nami analujua hiliTimu ifungwe na mashujaa hafu iifunge yanga???
Hakuchukua tahadhari wakat mwakajana unbeaten imefia hapoHatimaye historia imejirudia. Selection mbovu ya timu imetuponza. Bila shaka kocha anahusika moja kwa moja na haya matokeo iwapo yatabakia hivi mpaka mwisho.
Pole sanaNaanza kukosa imani na huyu Gamondi, hii game ilitakiwa tuimalize kipindi cha kwanza ukizingatia matokeo ya last year kwenye uwanja huu.
Hakuwaheshimu Wapinzani matokeo yake ndio haya.. na hapa bado Ihefu hawajaanza kulalaBado mapema sana hizi lawama
Bado nguvu ya kutukana unayo mkuu?[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24]
Aahaaaa
Tumekoswa hapa