Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MI naona fresh tuHatimaye historia imejirudia. Selection mbovu ya timu imetuponza. Bila shaka kocha anahusika moja kwa moja na haya matokeo iwapo yatabakia hivi mpaka mwisho.
Rudisheni goli kisha muwapige 5 hao walima mpunga, ache kujiaibishaYanarudi tulieni
NakaziaTuna imani na IHEFU
Lazima yarudi unafikiri huko mbalali ni kwao?Yanarudi tulieni
Kocha anahusika moja kwa moja na haya matokeo. Na kama akiendelea na haya masihara yake, mashabiki watamgeuka.Hakuwaheshimu Wapinzani matokeo yake ndio haya.. na hapa bado Ihefu hawajaanza kulala