BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,188
- 6,633
Etiie eehDaima mbeleee....
Mapemaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Etiie eehDaima mbeleee....
Mapemaaaaaa
Afu mbona kimya kimya kama Ngwair?Kwa hiyo unataka kusema hata wewe mpaka leo hujamsahau!
Bahasha mapema yote hii mkuu?Bahasha zianze tu..
Tukiwaambia Mbeya inahitaji Uwanja Mpya na wakisasa ,huu Sasa ndio ushahidi.[emoji471] #NBCPremierLeague
[emoji460]️ Ihefu SC Vs Young Africans SC
[emoji414] 04.10.2023
[emoji909] Highland Estates
[emoji797] 10:00 Jioni
Matokeo ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu uliozikutanisha timu hizo kwenye Uwanja huo msimu uliopita ambapo Ihefu iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 ndio yanayoonekana kuchangia zaidi kuongeza msisimko wa mechi hiyo ya leo kwani yaliifanya Ihefu kuizuia Yanga kuweka rekodi ya kucheza mechi 49 za Ligi Kuu bila kupoteza.
Yanga inaingia katika mechi ya leo ikiwa na historia ya ubabe dhidi ya Ihefu kwani zimekutana mara nne kwenye Ligi Kuu, ikipoteza mechi moja na kuibuka na ushindi katika michezo mitatu.
Mbali na hilo, mabingwa hao watetezi wanaonekana kuwa na mwanzo mzuri katika ligi kuu msimu huu ambapo wameibuka na ushindi katika mechi zao zote tatu zilizopita dhidi ya KMC, JKT Tanzania na Namungo FC, huku wakifunga mabao 11 na kuruhusu nyavu zao kutikiswa mara mbili tu.
Ni tofauti na Ihefu ambayo katika michezo mitatu iliyopita, imepata ushindi mara moja tu na kupoteza mechi mbili, ikifunga bao moja na yenyewe imefungwa mabao mawili.
Tukutane muda huo.
Inaweza kuwa mechi ya Kisasi.
View attachment 2771681View attachment 2771682
Tatizo una panick hatuwezi kutaniana mimi na wewe....Lini Ulituambia?
Acha kumcheka ndugu yko huyo muamshe tu usingizini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii gemu imeniuma sana maumivu yake ni kama ya kuchapiwa mke [emoji25]
kumbe leo ghafla wamekuwa midebwedo semeni yote acheni kubakishaGamondi kazingua sana aisee.
Mechi ngumu kama hii anaanzisha wachezaji midebwedo.
😂😂🤣🤣Kwa hiyo unataka kusema hata wewe mpaka leo hujamsahau!
Mbichi yaan DRYUshakula Bangi
Anataka nini huyu Mzee hajasimuliwa yaliyomkuta Nabi kwenye mechi hii?Gamondi anamzonga Refa
Ngoja wakupe banned 😂😂😂🤣🤣OYA MODS WEKENI ILO NENO FT MBONA HATULIONI APOO....AU NI NI UTOPOLOZ HAMUAMINI MACHO YENU?
Piga Gamondi limeshia kwa wauza mcheleLeo mtanikoma hakyanani na mtaniua kwa Furaha na nitawakereni hadi muombe poo.....!!
Kudadadeki.......!!
Uchebe alikuwa na nywele kichwani?Sio kila mwenye kipara ni kocha [emoji23][emoji23]