FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Bora ww unayekubali matokeo
Ukifungwa umefungwa tu mi sio mwana siasa nilembe maneno! Tumefungwa ila nachoamini hii itambadili kocha ktk mbinu zake lazima apate la kujifunzia
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Hakika Swahiba.
Kocha aingiliwi yule,historia yetu na ihefu wako daraja la kwanza match ni ngumu kama utakumbuka kuna msimu tulienda nao hadi penalti rostandi akatuokoa,msimu uliopita pia,binafsi nilipoona ile rotation ya wachezaji 8 nikajua tu ushindi leo droo,kocha kapata kitu cha kujifunza na hata wachezaji wetu wageni wamepata cha kujifunza kwanini ligi yetu ni miongoni mwa ligi bora afrika,wataongeza kujituma kufikia malengo
 
Ukifungwa umefungwa tu mi sio mwana siasa nilembe maneno! Tumefungwa ila nachoamini hii itambadili kocha ktk mbinu zake lazima apate la kujifunzia
Tayari tumeanza kupokea maneno kutoka kwa wadau wakereketwa walio hudhuria mechi uwanjani.
 
Back
Top Bottom