EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 3,050
- 5,420
Ndo unachokijua na wewe ko akin melek tuliwaonga?Ni ngumu sana kuwahonga watu wa mbeya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo unachokijua na wewe ko akin melek tuliwaonga?Ni ngumu sana kuwahonga watu wa mbeya
Vidonda vya tumbo siyo jambo zuriMm nimeamua, nisile kabisa leo nishinde humu kuwakandia 🤣 🤣 🤣
Labda inashinda njaaNgapi ngapi saa hizi mkuu? Au inashinda kwenye michezo saa moja?
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Pole chiefVidonda vya tumbo siyo jambo zuri
Nipo mimiWameshalala mapema na Uzi wao wameukimbia..waiteni
MBELEEEEEE MBELEEEEEEEWananchiiiiiiiiiiiiiiii......iiiiiiiiiiiiii.......iiiiiiiiiiiiiiiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipata mkuu usisahau kushare location mimi mwanasimba mwenzio [emoji23]Aisee nimefurahi sana.
Nani nimkope nikalewe??
Utamkera nani kwa marudio ya matokeo ya Mwaka Jana? Hayo si mageni kwetuLeo mtanikoma hakyanani na mtaniua kwa Furaha na nitawakereni hadi muombe poo.....!!
Kudadadeki.......!!
Hapo sasa umekua sawa....mmekandwa sio kufungwa🤣 Kichw kimeshakaa sawa kumbe tumefungwa Kmmk.
Kweli hujakosea goli ni 3.Utasema bado hujasema.Yanga anashinda goli 3 bila niko pale nimekaa.
ni mpira hatiwezi kushinda kila mechiManeno meengi leo mmefungwa mdomo.kiko wapi,,,[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Mods kama marefa tu🤣🤣🤣🤣 Game bado iko Live hapa JF 🤣🤣🤣
Natamani mkung'utwe ila kila nikiwangalia IEFU naona hakuna sababu ya mimi kuamini upuuzi wa namna hiyo katika umri huu niliyonao .
.