FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

IMG-20231004-WA0051.jpg
IMG-20231004-WA0053.jpg
 
Walikuwa wanakuzoom tu pindi unaandika hivi...
Walifurahi sana wakanipiga malike kama yote kumbe nawaangalia tu .

Ila yote kwa yote nimeamini uchawi upo hapa chini ya jua .

Pale highland estate sijapaona pa kawaida toka saa tisa unusu nipo nimekaa na chupa kubwa ya maji ila nimeweka konyagi yangu ila mpaka mpira unaisha sijaelewa chochote na pombe haipo kichwani kabisa.
 
Mods kama marefa tu

Wanafidia ule muda ambao ulipita bila kufanya changes kwenye score board
🤣🤣🤣Naingia chimbo mechi ya kesho Mnyama tuue mtu.

Niliwaambia tukikaa hapo juu ni mwanzo mwisho, Uto wataishia nafasi ya 3 this time. 🤣🤣🤣
Tunza Comment
 
Back
Top Bottom