Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Ni kwanini Yao Yao na Nzengeli hawakuanza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado ulikaa pale au ulikimbia?Yanga anashinda goli 3 bila niko pale nimekaa.
Tumekuwa tukimpongeza kocha kwa kufanya rotation katika kikosi na kujisifu kuwa tuna vikosi vitatu. Iweje leo utilie shaka? Tusiwe wanafiki, soka ni magoli, na magoli ndio yanayoamua ushindi, sare au kupoteza...binafsi nilipoona ile rotation ya wachezaji 8 nikajua tu ushindi leo droo,kocha kapata kitu cha kujifunza
Hapana. Zilitakiwa ziongezwe dk 30 kabisa.Kwa muda waliopoteza Ihefu zilitakiwa ziongezwe hata dk 13.
Dah sawa hawa Ihefu dawa yao inachemkaKiko wapi sasa....
Kuna kufungwa halafu kuna kufungwa na Ihefu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
GentaVILAZA WA Jamii forum ni
1 .GE.....
2. NA.......
3. La......
GENALA.
Hapa bado haujasema ndugu...Ni kwanini Yao Yao na Nzengeli hawakuanza?
Kwa kuwa mna kikosi kipanaNi kwanini Yao Yao na Nzengeli hawakuanza?
Ahsante mdogo wangu. Natumai wifi yangu hajakununia. 😅😅Pole sana Dada yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa.Ahsante mdogo wangu. Natumai wifi yangu hajakununia. [emoji28][emoji28]
Ndo hiyo hiyo Mtani.Ya Dar es salaam ama
Hii ni zaidi ya kupoa aisee.Hahahaaa.
Ukisikia nchi imepoa ndio namna hiyo sasa...
Sio uongo sema nini sikutarajia hii kitu Mtani. 😅😂🤣😂 nini mtani. Kwani uongo? Amin
😂😂😂View attachment 2772313View attachment 2772314
Aione
Shadeeya Kalpana Scars na wengine wanaopenda na kulitakia mema soka letu Tanzania
BalaaView attachment 2772313View attachment 2772314
Aione
Shadeeya Kalpana Scars na wengine wanaopenda na kulitakia mema soka letu Tanzania
Bila hivi, sijioni kama naishi kabisa.😄Unapenda ugomvi 😄
Shabiki hajawahi kuwa mtu wa shukurani na fadhila, sikuzote yeye anataka mchezaji ampe matokeo chanya ambayo hayatamuumiza kihisia.Nimesikitika Sana...... Lawama kupewa Diarra eti Magoli Yote asingefungwa..Ufupi Umeigharimu timu...!
Watu wanasahau Mapema ,Kimo hiki hiki ndo kilituvusha mechi Dhidi ya Marumo na Zalani....!
Tuwe Watu wa shukurani na fadhila jama..!
Ngoja siku wakudunde huko mtaani 😄😄Bila hivi, sijioni kama naishi kabisa.😄