FT| JKT FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 05.05.2025

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
5,037
Reaction score
4,932
1000086098.jpg

Tunaendeleza tulipoishia.

VIKOSI VYA LEO
1000086711.jpg

1000086715.jpg
 
Leo utashangaa mwamuzi ni Tatu Malogo! Na akina OKW BOBAN SUNZU unakuta wanakenua meno tu na kuimba ubaya ubwela! Ila ccm nao wakiwaweka akina Ramadhan Kailima kusimamia uchaguzi, wanalalamika!

Ndugu zangu linapokuja suala la watu wachache kujimilikisha haki za wengine, tukemee kwa pamoja. Waamuzi wachezeshe kwa haki na kwa kufuata sheria 17 za mpira wa miguu. Tuungane kukemea haya madudu ya upendeleo, upangaji wa matokeo, rushwa, na kila aina ya uovu unaofanywa na baadhi ya waamuzi vilaza na pia bodi ya ligi ndani ya mpira wetu wa miguu.
 
Hizi timu ndogo ndogo kama yanga,pamba,mashujaa n.k, ambazo hazijawahi kuingia kwenye top 10 za CAF tokea Dunia kuumbwa zinatafuta sifa kuikamia timu namba 4 kwa ubora barani Afrika.

Kwa status,hadhi na heshima ya Simba barani Afrika na Duniani,siku moja watangaze rasmi ya kwamba mtani wao wa jadi ni Aly ahly ya misri...hivi timu ambayo haijawahi kuingia kwenye Top 10 za tokea Dunia iumbwe atakuwaje mpinzani na mtani wako wa jadi?
 
Leo utashangaa mwamuzi ni Tatu Malogo! Na akina OKW BOBAN SUNZU unakuta wanakenua meno tu na kuimba ubaya ubwela! Ila ccm nao wakiwaweka akina Ramadhan Kailima kusimamia uchaguzi, wanalalamika!

Ndugu zangu linapokuja suala la watu wachache kujimilikisha haki za wengine, tukemee kwa pamoja. Waamuzi wachezeshe kwa haki na kwa kufuata sheria 17 za mpira wa miguu. Tuungane kukemea haya madudu ya upendeleo, upangaji wa matokeo, rushwa, na kila aina ya uovu unaofanywa na baadhi ya waamuzi vilaza na pia bodi ya ligi ndani ya mpira wetu wa miguu.
Well spoken, ila mwamuzi sio Tatu
 
Back
Top Bottom