FT| JKT FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 05.05.2025

FT| JKT FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 05.05.2025

Kuna usemi wa Wazungu wanasema "kamuue kwanza Mbweha kisha ndio umuonye Kuku asiende vichakani".Muwakumbushe hao wasipoteze muda,wasicheze rafu za hovyo,wasiruhusu Simba kufika kwenye 18 yao mara kwa mara,bila hivyo yaliyomkuta yule Shujaa yatawakuta na wao.
 
My Prediction kikosi cha Simba Huenda Kikawa kama Ifuatavyo.

1. Kamala.
2.kapombe.
3. Nouma.
4. Hamza.
5. Chamoe
6.Ngoma.
7. Mutale.
8.Debora.
9. Mukwala.
10. Aohua.
11. Kibu
 
Hii ligi kuifuatilia inahitaji moyo sana. Hivi karibuni nimetazama mechi ya Coastal Union na timu flani siikumbuki. Baada ya Coastal kupata golikipa wao alikaa bila kuguswa zaidi ya dakka tano anatibiwa. Baadae wachezaji wa ndani nao wakawa wanalala. Nilishangaa zinaongezwa dakika 2 tu.
Mechi nyingine nimetazama ni kati ya Pamba na timu Kengold kama nakumbuka vizuri. Muda ulio potezwa makusudi kwa kipa kulala ni zaidi ya dakika 10 lakini dakika za nyongeza zikawa 2 tu. Lakini hawa wakubwa wanapokuwa wanatafutiwa matokeo zinaongezwa dakika nyingi tofauti na inavyokuwa kwa timu nyingine. FFF wasipokuwa makini tutarudi kule kule gizani.
 
Back
Top Bottom