FT| JKT FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 05.05.2025

FT| JKT FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 05.05.2025

Leo utashangaa mwamuzi ni Tatu Malogo! Na akina OKW BOBAN SUNZU unakuta wanakenua meno tu na kuimba ubaya ubwela! Ila ccm nao wakiwaweka akina Ramadhan Kailima kusimamia uchaguzi, wanalalamika!

Ndugu zangu linapokuja suala la watu wachache kujimilikisha haki za wengine, tukemee kwa pamoja. Waamuzi wachezeshe kwa haki na kwa kufuata sheria 17 za mpira wa miguu. Tuungane kukemea haya madudu ya upendeleo, upangaji wa matokeo, rushwa, na kila aina ya uovu unaofanywa na baadhi ya waamuzi vilaza na pia bodi ya ligi ndani ya mpira wetu wa miguu.
Sheria 17 za Utopolo haziruhusu extra time, zinaruhusu kunawa mpira, kulala uwanjani, na goli lililofungwa kwa ngumi
 
Back
Top Bottom