Angalia mkuu usije lowanisha godoro hapo kwa shemeji yako. Just joke 🤣Goooooal jkt 1-0simba.
Haya mambo yameanza kunoga
Unajitafutia kupandwa na hasira tu baadaeLolote baya liwapate makolo
Tayari 1Wayaaaaaaaaaaa
Simba inatisha
Kiko wapiiiiLolote baya liwapate makolo
Wapewe tu, hawajui wanacheza na wawakilishi wa nchiHawa nao Wana red maana wanacheza Kwa hasira
Uhuni tu kuna shida hapoRefa alitaka kupigwa😀😃😃
Duh!! hizi timu sijajua kwanini wanacheza kwa fujo kiasi hiki. Siyo football tena hii ni vita.Refa alitaka kupigwa😀😃😃