Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,816
Wakalilie chooniKiko wapiiii
Maana CAS hawawezi kwenda tena Utopolo hao
Wakalilie chooniKiko wapiiii
Itakuww ni mpunga mrefuJKT wameahidiwa nini ni GSM?
Itakuwa ni mpunga mrefuJKT wameahidiwa nini ni GSM?
La penati tena offside alisikika chura mmoja kutoka CAS😃😃😃Jamani mnao angalia mechi hilo goli nila penati au sio la penati
Hakika. Maana yule jamaa wa kwenye benchi anataka kumpiga refa. Wanacheza kwa fujo.JKT wameahidiwa nini ni GSM?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣La penati tena offside alisikika chura mmoja kutoka CAS😃😃😃
GSM katika ubora wake. Kaja kuharibu ligi ili awafurahishe mazwazwa wa utopoloDuh!! hizi timu sijajua kwanini wanacheza kwa fujo kiasi hiki. Siyo football tena hii ni vita.
Naa ndio mimi
😂😂😂😂😂Refa alitaka kupigwa😀😃😃
😂😂😂😂La penati tena offside alisikika chura mmoja kutoka CAS😃😃😃
Amefunga penati ya offside. Au nasema uongo wanautopolo🤣🤣😂La penati tena offside alisikika chura mmoja kutoka CAS😃😃😃
😆😆umemuona Mutale?😂😂😂😂
Ndicho walichotegemea.Kuna kitu kipo ktk hivi viporo, nani huyo anaetaka vichache? Akati moto wa kupashia upo?
Ubayaaa ubwelaaaa. 😂😂😂😂😂😂
Is it? Sina access ya kuangaliaMutale MOM
😂😂😂😂😂Ndicho walichotegemea.
Kwamba wacheze na viporo ili vichache waokote dodo mchangani.
Imekula kwao wanajisusisha derby.