Mioyo yao inabubujika supu....Hicho kitufe cha LIVE bora kiendelee tu maana bado gemu ipo laivu kwenye mioyo ya Utopolo
Mbona mwiko upo mbele?
😂😂😂😂😂😂Nilivyonahasira naweza sababisha hadi server za jf zife kwa muda, nalog out
Nimechekaa had Co poaah, 😂😂😂😂Hicho kitufe cha LIVE bora kiendelee tu maana bado gemu ipo laivu kwenye mioyo ya Utopolo
Wakiuchomoa ndo sasa inakua daima mbele?Wakati wanaenda CAS huwa wanauchomoa nyuma mwiko
Kauli hizi zilishaanza kutolewa tangu raundi ya kwanza dhidi ya Al Ahly TripoliSafu hii ya ushambuliaji ya Simba itawagharimu mbele ya Berkane
Kauli hizi zilishaanza kutolewa tangu raundi ya kwanza dhidi ya Al Ahly TripoliSafu hii ya ushambuliaji ya Simba itawagharimu mbele ya Berkane
Daah, I see. Sikujua kumbe ndio hivyo🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂Wakiuchomoa ndo sasa inakua daima mbele?
kwahiyo apo diara ni yupi
wameuchomoa kwa mudaMbona mwiko upo mbele?
tena supu ya vibuduMioyo yao inabubujika supu....
NiacheniAhahahaa jamaaani mtani usijitese kwa sbb ya Utopolo bana ....
Mchungulie vizurikwahiyo apo diara ni yupi
Tusijipe matumaini sana hesabu hazijakaa upande wetu, tunaweza kujikuta mwisho wa siku tunakosa makombe yote...Mimi ni kolo mwenzio usinisemee uyanga.Utopolo msio na vigoli vya kubangaiza mnashiriki mashindano ya Umiseta kusini Pemba kwenye uwanja wa gombani
Mimi ligi ya bara nilishagaacha kutizama misimu mingi sana kwasababu ya huu ujinga, huwa nashagaa sana kusikia eti ligi bora ya tano afrika,?Hii ligi kuifuatilia inahitaji moyo sana. Hivi karibuni nimetazama mechi ya Coastal Union na timu flani siikumbuki. Baada ya Coastal kupata golikipa wao alikaa bila kuguswa zaidi ya dakka tano anatibiwa. Baadae wachezaji wa ndani nao wakawa wanalala. Nilishangaa zinaongezwa dakika 2 tu.
Mechi nyingine nimetazama ni kati ya Pamba na timu Kengold kama nakumbuka vizuri. Muda ulio potezwa makusudi kwa kipa kulala ni zaidi ya dakika 10 lakini dakika za nyongeza zikawa 2 tu. Lakini hawa wakubwa wanapokuwa wanatafutiwa matokeo zinaongezwa dakika nyingi tofauti na inavyokuwa kwa timu nyingine. FFF wasipokuwa makini tutarudi kule kule gizani.
Tulishaambiwa wenye akili wawili tu, tuendelee kuishi humo.Wajinga kweli,wanalilia point wakati mechi iliahirishwa.