Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Kwamba Kamala nae ana lala lala ili kupoteza muda? Hata kwa JKT kweli?Uto mkashitaki na hii. Kwa nini Camara analala hovyo
Kwamba Kamala nae ana lala lala ili kupoteza muda? Hata kwa JKT kweli?Uto mkashitaki na hii. Kwa nini Camara analala hovyo
Mpira umeisha Simba anaondoka na point tatu
Sie moja linatosha Yao menge ya Match fixing yanachunguzwa😃Na sisi tunapenda simba ishinde hivi hivi goli 1 maana tumegundua goli moja huwa linawaumiza sana utopolo
Tutashinda na kuchukua kombe.Safu hii ya ushambuliaji ya Simba itawagharimu mbele ya Berkane
Ndo uwezo wetu bhana, hatuna watu pale mbele ukilinganisha na uto..haya mengine ni kujifariji TU na vigoli vyetu vya kubangaizaNa sisi tunapenda simba ishinde hivi hivi goli 1 maana tumegundua goli moja huwa linawaumiza sana utopolo
Sahihi kabisa. Safu nzima ya mbele inabidi ifumuliwe isukwe upya. Hata Kibu siku hizi simuelewi kabisa.Kwa kweli simba wanahitaji namba 10/9/8 zile sehemu za mbele zote zinahitaji watu,Mutale anahitajika kupisha watu,nafasi ya kutengeneza nafasi inahitaji watu,kuna shida sn mbele na wanaopewa nafasi hawaonyeshi makali
Nyie gongowazi mlimfunga ngapi JKT nyumbani kwao mpaka uone ni tomu dhaifu?Kwamba Kamala nae ana lala lala ili kupoteza muda? Hata kwa JKT kweli?
Safu hiyo hiyo fake ndiyo imewapeleka fainal ya cafcc. Sema kingineSafu hii ya ushambuliaji ya Simba itawagharimu mbele ya Berkane
Utopolo msio na vigoli vya kubangaiza mnashiriki mashindano ya Umiseta kusini Pemba kwenye uwanja wa gombaniNdo uwezo wetu bhana, hatuna watu pale mbele ukilinganisha na uto..haya mengine ni kujifariji TU na vigoli vyetu vya kubangaiza
😂😂😂😂😂Wazee wa CAS mpoo. Hili goli la offside ya penati kashtakini Bila Mwanasheria. Nasikia kajiudhuru kwa aibu ya kushindwa Kila kesi🤣🤣