Iahirishwe...Bodi tunaomba mechi ya KMC ihairishwe. Tuna majukumu ya kuwakilisha Africa Mashariki na Kati na Uto wakiwemo
Tunashiriki looser cupUtopolo msio na vigoli vya kubangaiza mnashiriki mashindano ya Umiseta kusini Pemba kwenye uwanja wa gombani
Tupo kwenye kikao kizito. Hili suala la goli moja moja CAS waliangalie ikiwezekana lifutwe iwe droo. Haiwezekani sisi Utopolo tunaofunga goli 5 tupewe pointi 3 na wanaofunga goli moja nao pointi 3. TFF na Bodi ya Ligi inatunyanyasa na kutuonea kwa vile sisi ni vyura wa matopeniGoli moja linatosha. Uto nendeni CAS ushindi wa goli moja ufutwe igeuzwe draw
Yaan mashabiki wa lunyasi tuna raha mno,Ila Simba wana raha sana. Tff/Bodi ya ligi wanaipambania sana nje na ndani ya uwanja
Kwa nini mkuuIahirishwe...
Mwasibu CPA unaniangusha sasa 😂🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Wewe unafadhili timu ipi...Hamna timu hapa
Vipi bado upo uwanjani nikupe majiNitajeruhi mtu mechi hii
Chomoa mwiko huo uliochomeka nyumaKwakuwa Simba wanaongoza zimeongezwa dakika 4. Wangekuwa wanaongoza JKT zingeongezwa 9 na zingepigwa mpaka 15
Ulitaka akulalie?Kwamba Kamala nae ana lala lala ili kupoteza muda? Hata kwa JKT kweli?
Nipo ndio wadhulumati wakubwa nyieVipi bado upo uwanjani nikupe maji
Kungekuwa na JF-Team ningeifadhiliWewe unafadhili timu ipi...
Kwani GSM na Hersi hawaipambanii Utopolo.Ila Simba wana raha sana. Tff/Bodi ya ligi wanaipambania sana nje na ndani ya uwanja
Tuna pointi zetu 3 muhimu pale utopoloni. Acheze ama asicheze.Yaan mashabiki wa lunyasi tuna raha mno,
Huu mwaka ni wetu, 😂😂😂😂😂
Ongeza 🔈Tuna pointi zetu 3 muhimu pale utopoloni. Acheze ama asicheze.
Asipocheza tunampiga goli 3 na pointi 3
Badoooo hamjasema sisi ndo kwanzaaaa tumefungulia sabufaaNipo ndio wadhulumati wakubwa nyie
Nilivyo na hasira naweza sababisha hadi server za jf zife kwa muda, nalog outBadoooo hamjasema sisi ndo kwanzaaaa tumefungulia sabufaa
Ahahahaa jamaaani mtani usijitese kwa sbb ya Utopolo bana ....Nilivyonahasira naweza sababisha hadi server za jf zife kwa muda, nalog out
Mbona mwiko upo mbele?