G
guest-1787677352
Guest
Atakuwa referee huyo sio bure.Yakub Suleiman Man of the Match
Atakuwa referee huyo sio bure.Yakub Suleiman Man of the Match
Mtamlaumu GSM kuwa ndiye amesawazisha.Hizi nafasi wanazozichea Simba ikitokea JKT wakasawazisha tutawalaumu sana
Zaidi ya nafasi nne za wazi
Leo Wanajeshi hawakulala lala uwanjani kama zile timu za GSMDk 4 za nyongeza
😂😂😂😂Kwakuwa Simba wanaongoza zimeongezwa dakika 4. Wangekuwa wanaongoza JKT zingeongezwa 9 na zingepigwa mpaka 15
Obvious kwa kuwa sasa hakuna wa kupoteza mudaKwakuwa Simba wanaongoza zimeongezwa dakika 4. Wangekuwa wanaongoza JKT zingeongezwa 9 na zingepigwa mpaka 15
Ha ha leo wamejikazaLeo Wanajeshi hawakulala lala uwanjani kama zile timu za GSM