Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,816
Ili uwe bingwa wa ukweli lazima ucheze na uwashinde wa moto.Wale berkane walikuwa wachovu, Hawa ni moto
Sio Marumo Galant wanaoshuka daraja
Ili uwe bingwa wa ukweli lazima ucheze na uwashinde wa moto.Wale berkane walikuwa wachovu, Hawa ni moto
Simba ikichukua shirikisho wanikate mbupu kwa msumeno butuMimi pia ni mnyama na safari hii tunachukua shirikisho na tunaenda ikulu 😊☺️
Wanacheza ovyo kwa timu ya ovyo.Simba inacheza ovyo sana. Wakicheza hivi kwa timu kama RS Berkane wataoga magoli
Wengi sasa tumeacha kuangalia sokaMchezaji wa JKT anaecheza wingback ya kushoto mzuri sana
Nenda CAS mkuu ukahoji.Dakika Saba za Nini, ni rushwa
Mzuri akicheza na Simba.Mchezaji wa JKT anaecheza wingback ya kushoto mzuri sana
Mkuu,Simba ikichukua shirikisho wanikate mbupu kwa msumeno butu
Mjomba umelalaNgoma toka lini akapiga penalti?
74Dakika ya ngapi kwa TV
JKT ililazimishwa sare na Yanga hapo IsamuhyoWanacheza ovyo kwa timu ya ovyo.
Unampelekaje five star hotel demu katoka kijijini. Atakuona mshamba, mpeleke kwa mama lishe akashibe ubwabwa
😂😂😂😂Wanacheza ovyo kwa timu ya ovyo.
Unampelekaje five star hotel demu katoka kijijini. Atakuona mshamba, mpeleke kwa mama lishe akashibe ubwabwa