FT| JKT FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 05.05.2025

FT| JKT FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 05.05.2025

Bwana ma penalti kumbe anacheza leo ,tulikuwa tusha sahau ma penalti sisi😅😅
 
Tuna mechi na utopolo.

Naona Utopolo wanajiona wameota mavzi wanaleta siasa kwenye soka.
40 bila bila
Simba wamebanwa mbavu sana.Lakini poa ubinafsi unaendelea.Kuna nafasi mukwala ilikuwa ampe mfungaji but akapiga yeye nje.
 
Nguvu mbili mko mna focus macho kwenye skrini😎😎,hamtuletei update🤔😃
 
Mchezaji wa jkt kamsukuma hukoooo kipa Camara halafu anafoka kupewa njano
 
Back
Top Bottom