holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Mabingwa wa muda wote wa ligi ya Tanzania Bara, Mabingwa watetezi wa ligi kuu msimu huu na vinara wa ligi YOUNG AFRICANS SC watashuka dimbani leo majira ya saa 10 za jioni ugenini kuwakabili JKT TANZANIA katika dimba la Meja Jenerali Isamhyo.
Je, Yanga kuendelea kujichimbia kileleni wa msimamo? usikose kufuatilia mtanange huu wa kukata na shoka, na ambatana nami katika uzi huu kukuletea "updates" mwanzo hadi mwisho wa mchezo huu.
Updates
Dimba ni safi hakuna mvua timu zinaingia uwanjani, yanga wamevaa jezi za njano juu mpaka chini, huku JKT wakivalia jezi za blue juu mpaka chini.
Vikosi vya Timu zote
First half updates,
JKT Tanzania 0-0 Yanga
1' Mpira umeanza
15' Milango migumu kwa timu zote
21' Mzize anatoaka nje kupata matibabu baada ya kuumizwa Nangu
36' Bado Milango migumu kwa timu zote
38' Mzize anapiga shuti kali na kuishia mikononi mwa mlinda lango
HT: JKT Tanzania 0-0 Yanga