FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi kuu NBC | 10.2.2025

FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi kuu NBC | 10.2.2025

Huyu ndio Meja Jenerali Mstaafu Isamuhyo, jina la uwanja limeiitwa kwa heshima yake kubwa na utumishi wake uliotukuka jeshini.
IMG_5263.jpeg
 
JKT wanaupiga mwingi hapa, lolote linaweza kutokea kama wachezaji wa Yanga hawatokuwa makini
 
Back
Top Bottom