FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi kuu NBC | 10.2.2025

FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi kuu NBC | 10.2.2025

Uchezaji wa Yanga haufurahishi kabisa, wanacheza hovyo sana
 
Hivi uyu Dube anahisa na timu mbona jamaa hovyo kweli lakin hatoki, nguvu zenyewe za papatu papatu hana..
 
Refa maliza mpira huu ndo muda wa haya majamaa kuingiza majini uwanjani yapige mitama wachezaji wa jkt
 
Kila la kheri Timu ya wananchi katika kupata poinsts tatu japo mechi imekuwa ngumu.
Vipi ulishapata kadi ya mwaliko?
1739198402769.jpg
 
Duh kocha kamtoa Pacome na Mzize halafu Prince mpumbavuleo Dube anaachwa wakati hakuna la maana analolifanya.
Kumtoa Pacome na kumuingiza mzigo Musonda ni kuifanya mechi iwe ngumu zaidi ya awali
 
Back
Top Bottom