Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona malalamiko haah leo kazi ipo utoDuh kocha kamtoa Pacome na Mzize halafu Prince mpumbavuleo Dube anaachwa wakati hakuna la maana analolifanya.
Kumtoa Pacome na kumuingiza mzigo Musonda ni kuifanya mechi iwe ngumu zaidi ya awali
Utopolo lolote baya na liwapate.Uchezaji wa Yanga haufurahishi kabisa, wanacheza hovyo sana
Yanga wanabebwaLeo hata kukiwa na ushindi waweza usiwe mnono.
AmenUtopolo lolote baya na liwapate.
Ndo mpira mkuuYanga wanabebwa
Dakika za jioni Ndugu yanguDakika ya ngap!!!
WatakosaYanga wanapata penati
Na hiyo penatiNasisitiza uto anakufa 1-0
Lazima tushinde 1-0Hii ngoma ishakuwa ngumu
Na bado, ya Azam yatawakuta TuHii ngoma ishakuwa ngumu