FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi kuu NBC | 10.2.2025

FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi kuu NBC | 10.2.2025

Kwanza una usingizi, pili huna njaa wewe,

Yaani uwe na njaa kweli halafu yanga afungwe ndio ushindwe kula!! Hiyo yanga ni mama yako mzazi? Wacha kujipa umuhimu kwenye vitu vya hovyo mdogo wangu, we yanga hata vyoo vyake vya jangwani hujui unafananaje?
Unanichamba?
 
Back
Top Bottom