FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

😂😂😂😂
 
Mechi ya leo inaenda kunipa tathmini ya nini kilichojadiliwa kwenye vile vikao.

Ikiwa kweli kama inavyosemwa kuwa Kocha hatoingiliwa majukumu basi tutaenda kushuhudia challenge mpya ya wachezaji kugombania namba.

Na ile mikataba ya kibepari mchezaji anasaini kwa sharti la kuwa awe anacheza dakika zote 90 waiangalie upya.

Kuna dhana ya utegevu na ubwetekaji wa kimakusudi ambayo inaweza kuzaliwa kutoka kwa mchezaji kwasababu ya kulindwa na mkataba.

Performance ya mechi hii ikiwa low basi ni kweli hatujafanya sajili na tunatakiwa kufanya maboresho dirisha dogo.
 
Tumebakisha Dakika 19'

Hali ya hewa huko Botswana ni nzuri kabisa.

Hali ya Wachezaji ni nzuri.

Tuna imani na Timu yetu
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…