Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga hilo kolo 3-0
Saido daah mwamba ana zali.
😂😂😂😂
Match Day
🏆CAF Champion League
⚽ Jwaneng Galaxy vs Simba
🏟️ Francistown Stadium
🗓️ 02.12.2023
⏰ 1600hours (EAT)
Kikosi cha Jwaneng' Galaxy kinachoanza.
View attachment 2831454
Kikosi cha Simba Kinachoanza
View attachment 2831455
All the Best Mnyama.
Updates...
Sasa ni Saa Tisa na Dakika 25 Alasiri.
Hali ya hewa ya Dar es Salaam ni ya joto kidogo, maeneo mengi yana mawingu ya hapa na Pale...
Zimebaki dakika 34' tu kipute hiki kianze.
Huko FrancisTown Stadium.
#Nguvumoja#...
Duh 4-4-2
Naunga mkono hojaMechi ya leo inaenda kunipa tathmini ya nini kilichojadiliwa kwenye vile vikao.
Ikiwa kweli kama inavyosemwa kuwa Kocha hatoingiliwa majukumu basi tutaenda kushuhudia challenge mpya ya wachezaji kugombania namba.
Na ile mikataba ya kibepari mchezaji anasaini kwa sharti la kuwa awe anacheza dakika zote 90 waiangalie upya.
Kuna dhana ya utegevu na ubwetekaji wa kimakusudi ambayo inaweza kuzaliwa kutoka kwa mchezaji kwasababu ya kulindwa na mkataba.
Performance ya mechi hii ikiwa low basi ni kweli hatujafanya sajili na tunatakiwa kufanya maboresho dirisha dogo.
Kwanini umeshangaa? Naona ni formation nzuri kutokana na wachezaji waliopo.Duh 4-4-2
Acha roho mbayaBest wishes jwaneng
Ni kweli jamaa ana zali...Saido daah mwamba ana zali.
Punguza jaziba [emoji16] mama anaupiga mwingiTanesco wamekata umeme, hivi hawa watu wako timamu kweli?
Kweli sisi weusi bado tuko kwenye evolution bado hatujawa binadamu kamili.