ATHUMANI PAZI
Member
- Oct 13, 2022
- 6
- 5
Chama anaonesha ana kitu anaweza fanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda ikatufaa, ila Mie naona humu phiri anahitajika, atoe saidoKuna Sub kocha kafanya labda itatusaidia.
Mna tia huruma sanaKuna Sub kocha kafanya labda itatusaidia.
Kweli. Saido pamoja na uzuri wake ila anasababisha mashambulizi mno sababu anakosea na kupoteza tunashambuliwa.Huenda ikatufaa, ila Mie naona humu phiri anahitajika, atoe saido
Msimamo wa group la Yanga kwa sasa ndo unatia huruma.Mna tia huruma sana
Unanichekesha sana Ndugu yangu inaonekana una gadhabu sana na kinachoendelea uwanjaniOffside.. Kibu kazidi, halafu hili li baleke limesimama huku kama UB(oo)
Kesho taku tag nkuoneshe upya msimamoMsimamo wa group la Yanga kwa sasa ndo unatia huruma.
Weakness ya SAIDOO hatoi pas kwa haraka, hadi defence line inajipanga..Kweli. Saido pamoja na uzuri wake ila anasababisha mashambulizi mno sababu anakosea na kupoteza tunashambuliwa.
Hizi point 3 tunazihitaji sana kusema kweli, hizi sare hazina afyaMsimamo wa group la Yanga kwa sasa ndo unatia huruma.
Weakness ya SAIDOO hatoi pas kwa haraka, hadi defence line inajipanga..
tag sasa, kwanini kesho?Kesho taku tag nkuoneshe upya msimamo
KabisaHizi point 3 tunazihitaji sana kusema kweli, hizi sare hazina afya