Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatia nini?Msimamo wa group la Yanga kwa sasa ndo unatia huruma.
Mic anaruka ruka tuMmmmggh finishing Kwa Simba Bado ni tatizo kubwa, sidhani kama tutatoboa!
Hapo kwenye kufunga sasa....Ukiona goal basi ujue simba kafunga..
Maaan hawa galaxy hakuna timu wallah
Unadhani kushinda ni rahisi?wangeshinda utopolo kule arabuni.Hata ukiisha mmeshinda haibadilishi kuwa Simba ni Mbovu Sana . .Tena hii ilikuwa halft time tu mshinde ...
Mie nawaona hawana kabisa ile quality ya champions league.Ni moja wapo ya timu ambayo kwa mtazamo wangu haikustahili kufika hapa ilipo, na imefika hapa kutokana na uzembe walioufanya Orlando Pirates.... kwenye preliminary stage Ile game ya kwanza Pirates eti walipunzisha wachezaji wao muhimu sababu ya game ya Ligi iliyokuwa mbele yao dhidi ya Sundowns, matokeo yake wakafungwa, halafu game ya pili majamaa yaka watoa kwa matuta.
Imagine sasa hivi tungekuwa tunaangalia mechi ya Simba vs Pirates na sio hawa washamba wanaotegema kubaki basi tu na kufunga magoli ya kuvizia vizia.
Pongezi wanastahili tu kama formality lakini sio pongezi za dhati.Wapewe pongezi zao tu sababu timu inayoatahili kuvuka ni ile inayokusanya point na wamefanya hivyo halafu wanaendelea kufanya.
Ila ndo wanasonga hivyoMie nawaona hawana kabisa ile quality ya champions league.
AahaaaaMamelody kafa huko congo.
Mnyama ana afadhali jamani
Hapa unawakilisha taswira halisi ya neno Makolo..Mamelody kafa huko congo.
Mnyama ana afadhali jamani
Na hawajamtoa Hadi sasaBaleke ni msengeeee