kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Baleke ni msengeeee
Hujasema[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baleke ni msengeeee
Baleke alikuwa anafikiria nini..
Imefika kwa kushinda,siyo droo kama nyieHii timu imefikaje champion league?
Umeongea kwa uchungu sana.Ni moja wapo ya timu ambayo kwa mtazamo wangu haikustahili kufika hapa ilipo, na imefika hapa kutokana na uzembe walioufanya Orlando Pirates.... kwenye preliminary stage Ile game ya kwanza Pirates eti walipunzisha wachezaji wao muhimu sababu ya game ya Ligi iliyokuwa mbele yao dhidi ya Sundowns, matokeo yake wakafungwa, halafu game ya pili majamaa yaka watoa kwa matuta.
Imagine sasa hivi tungekuwa tunaangalia mechi ya Simba vs Pirates na sio hawa washamba wanaotegema kubaki basi tu na kufunga magoli ya kuvizia vizia.
Wadada wa Uswahilini wanakwambia usiombe kujua(kuwa na uwezo) lilia uwe na bahatiIla ndo wanasonga hivyo
Na ikiisha hivi wanakuwa na poiny nne
Wydad kashinda ngapi?,utopolo kashinda ngapi?Mpaka sasa Simba haijashinda mechi yeyote ya kimataifa ndani ya huu msimu.
Msimu huu neno 'ushindi' umegeka msamiati mgumu kwa Mnyama.
Ndio inaongoza kundi lake.Hii timu imefikaje champion league?
Hapana ni UTOPOLO MIMI,tena lia lia garagaraHapa unawakilisha taswira halisi ya neno Makolo..
Polee!Goooooaaaaaaaaal
Kwa mtu mgeni anayeangalia hii michuano kwa mara ya kwanza akiambiwa hii ni moja wapo ya timu 16 Bora zinazowania taji la afrika.... Ataidharau sana hii michuano.Mie nawaona hawana kabisa ile quality ya champions league.
Mkuu, ulitaka hao galaxy wafanyaje na wameingia kwenye makundi?Pongezi wanastahili tu kama formality lakini sio pongezi za dhati.
Unafikiri ni kwanini Diego Somione pamoja na kuifikisha Atletico Madrid hapo ilipo Leo hii, lakini dunia haimuimbi? Na hayumo hata kwenye orodha ya makocha 10 Bora barani ulaya?
Na pia unadhani ni kwanini dunia inamuongelea sana Roberto De zarbi na wakati ni kocha wa juzi tu hapa??
Football ni zaidi ya kukusanya points na Kisha kuvuka hatua inayofuata mzee
Ipi Sasa apoHii timu imefikaje champion league?
Angalau hao walishinda mechi za awali za kufuzu hatua ya makundi.
Na ikiisha hivi watakuwa na point nneNdio inaongoza kundi lake.