FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

Yanga wameambulia faini, pamoja na kupigwa nyumbani na ugenini
 
Ujinga wa kiwango cha PhD
 
Sasa wewe topolo una team nzuri ya kucheza ndondo cup mchangani
 
That was different squad bro
Kwa mara ya kwanza anashinda away kwenye hatua kama hii alafu unadharu?

Katika timu zote 32 zilizocheza ni timu nne tu zimeshinda na away na timu zilizopata ushind mzuri mbili tu, Raja Casablanca na Simba, zote zimeshinda 2.-0

Hebu kitulize huko

Tp mazembe kakamatwa SA, mamelod kakamatwa, al Ahly kakamatwa, Esperence de tunis kakamatwa, huyo Vita kaliwa
 
Hao wamecheza na nani?, halafu na ww umecheza na nani?
 
Hao wamecheza na nani?, halafu na ww umecheza na nani?
Gandarmerie Nationale 1-1 Al Ahly

Hawa Ganda bila msaada wa Google hata huwez wajua , hawa ndio wamfunga Simba?

Amazulu 0-0 Tp Mazembe

Tofaut ya amazulu na Galaxy n ipi?

Meniama Union 2-2 mamelod

Al-ittihad tripol 0-0 Esperence de tunis

Libya inatoa timu mbili tu, mwenzao na hawa kapigwa hapa 2-0 biashara United

Show some respect
 
Amazulu, As maniema, AL ittihad Tripoli mabingwa hawa wa Libya ndio uwafananishe na hawa Galaxy ambao hata kupiga mpira hawawezi, physic hawana

Haupo serious kabisa bt u have to aacept your lucky of getting weak opponent
 
Ndiyo utaratibu wa mashindano yote, timu kubwa huwa zinakutana na weak opponent ili mwishoni zikutane kubwa kubwa
 
Amazulu, As maniema, AL ittihad Tripoli mabingwa hawa wa Libya ndio uwafananishe na hawa Galaxy ambao hata kupiga mpira hawawezi, physic hawana

Haupo serious kabisa bt u have to aacept your lucky of getting weak opponent
Bingwa wa SA n mamelod, bingwa wa congo ni Tp ,mazembe, maniema kapata nafasi baada ya vita kupokonywa point, Libya imeletea timu hapa, tunajua kilicho tokea, Endeleen na hii mentality yenu ya hovyo , endeleen tu [emoji23][emoji23][emoji23], tumemaliza mbele ya Al ahly last year kwenye group, two seasons back tumemaliza nafasi ya pili nyuma ya Al ahly huyo huyo, last time funafungwa nyumban kwenye champions league ni 2011 kama sio 2012, ndani ya misimu minne hii tumesuluhu mechi mbili tu taifa, Vs Ud songo na robo final vs Tp mazembe, wengine wooote tumepiga. Galaxy nae akija hapa it's just another victim tu kama wengine, Meenda kukusanya nusu ya kikos As vita, wanao malizaga wa mwisho group stage, tumemchapa mara 3 mfululizo champions league , endeleen kujidanganya tu, siku mkishtuka tutawapokea kwa mikono miwil tusaidiane kupeperusha Bendera ya taifa

Lkn wakati huu Wakat huu tunapepea huko dunian nyie kila timu endeleen kuuitq dhaifu, wakitufunga wanajua
 
Kuna mtu kanambia utopolo wamecheza dakika 180 bila goli lakini wanaume dakika 6 goli 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…