spanerboy
JF-Expert Member
- Sep 14, 2020
- 655
- 1,460
watabishaHapa Utopolo huwaoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watabishaHapa Utopolo huwaoni
Pole sana ila najua umekubali japo kindani ndani
Anazidi kubabukaYu wapi The Return of Champions Haji Manara ?
Naona kinywa kimetulia kabisa.
Uto hawana habari ya kujitapa
Na vipi Simba angekutana na Yanga?Utopolo hakuweza kufikia hatua hii na unajua vizuri!! Hii ni timu nzuri sema imekutana na wanaume wa soka! Wangekutana na utopolo ingekuwa habari nyingine kabisa
Kwa akili za utopolo kama alivyoeleza manara!!Na vipi Simba angekutana na Yanga?
Ndoto ilikamilika, kumbe watu tuna upako.Nimeota leo Simba inashinda goli 2
Nawapongeza kabisa kabla ya mechi kuanza. Hongereni Simba kwa ushindi wa ugenini.
Yanga shabiki wenye akili ni Mzee Jk na Mzee Manara Oversawa mkuu ila kwa ushuzi mnaoonyesha uwanjani makundi bora mwamedi awapeleke twiga stars
Yanga wameambulia faini, pamoja na kupigwa nyumbani na ugeninimnazungumziaje malalamiko ya kocha wao au hamjaangalia interview??
kifupi anasema mmbebwa na refarii(hongeren CEO tunaona mnavyomtumia nje ya uwanja)😂😂😂
tuliyaona shinyanga bocco kapewa tuta,tukayaona dodoma redcard ya magumashi na sasa tumeyaona botswana mwendo wa kubebwa tuu sasa itabidi marefarii tuwawekee kamera tujue huyu CEO wenu anawapa nini😎
kwa hiyo ushauri wangu kwenu chekeni kidogo mbele ya safari mtalia sana sababu timu yenu bado mbovu mbovu mbovu yaan nyie wabovu kinachowapa ushindi wa kubebwa tushaanza kukinusa tunakifanyia uchunguz msije badae mkaaza kulaumu oooh sijui kwanin mugalu anaanza! ooh sijui nyoni nae angekuwa kati oooh sijui banda kawa kama banda la njiwa
tulieni tengenezeni timu kwanza ndo muanze kujitapa kwa Africa nyie kwa sasa ni underdog hii simba sio ile simba ya mwaka jana na juzi hii mie naiita simba makolo yaan hamna kitu bora timu yangu ya ashanti ilikuwa inacheza mpira wa kueleweka
Ujinga wa kiwango cha PhDmnazungumziaje malalamiko ya kocha wao au hamjaangalia interview??
kifupi anasema mmbebwa na refarii(hongeren CEO tunaona mnavyomtumia nje ya uwanja)[emoji23][emoji23][emoji23]
tuliyaona shinyanga bocco kapewa tuta,tukayaona dodoma redcard ya magumashi na sasa tumeyaona botswana mwendo wa kubebwa tuu sasa itabidi marefarii tuwawekee kamera tujue huyu CEO wenu anawapa nini[emoji41]
kwa hiyo ushauri wangu kwenu chekeni kidogo mbele ya safari mtalia sana sababu timu yenu bado mbovu mbovu mbovu yaan nyie wabovu kinachowapa ushindi wa kubebwa tushaanza kukinusa tunakifanyia uchunguz msije badae mkaaza kulaumu oooh sijui kwanin mugalu anaanza! ooh sijui nyoni nae angekuwa kati oooh sijui banda kawa kama banda la njiwa
tulieni tengenezeni timu kwanza ndo muanze kujitapa kwa Africa nyie kwa sasa ni underdog hii simba sio ile simba ya mwaka jana na juzi hii mie naiita simba makolo yaan hamna kitu bora timu yangu ya ashanti ilikuwa inacheza mpira wa kueleweka
Mjiandae kuwapokea JNKIA
Sasa wewe topolo una team nzuri ya kucheza ndondo cup mchanganimnazungumziaje malalamiko ya kocha wao au hamjaangalia interview??
kifupi anasema mmbebwa na refarii(hongeren CEO tunaona mnavyomtumia nje ya uwanja)[emoji23][emoji23][emoji23]
tuliyaona shinyanga bocco kapewa tuta,tukayaona dodoma redcard ya magumashi na sasa tumeyaona botswana mwendo wa kubebwa tuu sasa itabidi marefarii tuwawekee kamera tujue huyu CEO wenu anawapa nini[emoji41]
kwa hiyo ushauri wangu kwenu chekeni kidogo mbele ya safari mtalia sana sababu timu yenu bado mbovu mbovu mbovu yaan nyie wabovu kinachowapa ushindi wa kubebwa tushaanza kukinusa tunakifanyia uchunguz msije badae mkaaza kulaumu oooh sijui kwanin mugalu anaanza! ooh sijui nyoni nae angekuwa kati oooh sijui banda kawa kama banda la njiwa
tulieni tengenezeni timu kwanza ndo muanze kujitapa kwa Africa nyie kwa sasa ni underdog hii simba sio ile simba ya mwaka jana na juzi hii mie naiita simba makolo yaan hamna kitu bora timu yangu ya ashanti ilikuwa inacheza mpira wa kueleweka
Kwa mara ya kwanza anashinda away kwenye hatua kama hii alafu unadharu?That was different squad bro
Aya sawaKwa akili za utopolo kama alivyoeleza manara!! View attachment 1978239
Hao wamecheza na nani?, halafu na ww umecheza na nani?Kwa mara ya kwanza anashinda away kwenye hatua kama hii alafu unadharu?
Katika timu zote 32 zilizocheza ni timu nne tu zimeshinda na away na timu zilizopata ushind mzuri mbili tu, Raja Casablanca na Simba, zote zimeshinda 2.-0
Hebu kitulize huko
Tp mazembe kakamatwa SA, mamelod kakamatwa, al Ahly kakamatwa, Esperence de tunis kakamatwa, huyo Vita kaliwa
Gandarmerie Nationale 1-1 Al AhlyHao wamecheza na nani?, halafu na ww umecheza na nani?
Amazulu, As maniema, AL ittihad Tripoli mabingwa hawa wa Libya ndio uwafananishe na hawa Galaxy ambao hata kupiga mpira hawawezi, physic hawanaGandarmerie Nationale 1-1 Al Ahly
Hawa Ganda bila msaada wa Google hata huwez wajua , hawa ndio wamfunga Simba?
Amazulu 0-0 Tp Mazembe
Tofaut ya amazulu na Galaxy n ipi?
Meniama Union 2-2 mamelod
Al-ittihad tripol 0-0 Esperence de tunis
Libya inatoa timu mbili tu, mwenzao na hawa kapigwa hapa 2-0 biashara United
Show some respect
Ndiyo utaratibu wa mashindano yote, timu kubwa huwa zinakutana na weak opponent ili mwishoni zikutane kubwa kubwaAmazulu, As maniema, AL ittihad Tripoli mabingwa hawa wa Libya ndio uwafananishe na hawa Galaxy ambao hata kupiga mpira hawawezi, physic hawana
Haupo serious kabisa bt u have to aacept your lucky of getting weak opponent
So, Thanks God coz that was to much weakNdiyo utaratibu wa mashindano yote, timu kubwa huwa zinakutana na weak opponent ili mwishoni zikutane kubwa kubwa
Bingwa wa SA n mamelod, bingwa wa congo ni Tp ,mazembe, maniema kapata nafasi baada ya vita kupokonywa point, Libya imeletea timu hapa, tunajua kilicho tokea, Endeleen na hii mentality yenu ya hovyo , endeleen tu [emoji23][emoji23][emoji23], tumemaliza mbele ya Al ahly last year kwenye group, two seasons back tumemaliza nafasi ya pili nyuma ya Al ahly huyo huyo, last time funafungwa nyumban kwenye champions league ni 2011 kama sio 2012, ndani ya misimu minne hii tumesuluhu mechi mbili tu taifa, Vs Ud songo na robo final vs Tp mazembe, wengine wooote tumepiga. Galaxy nae akija hapa it's just another victim tu kama wengine, Meenda kukusanya nusu ya kikos As vita, wanao malizaga wa mwisho group stage, tumemchapa mara 3 mfululizo champions league , endeleen kujidanganya tu, siku mkishtuka tutawapokea kwa mikono miwil tusaidiane kupeperusha Bendera ya taifaAmazulu, As maniema, AL ittihad Tripoli mabingwa hawa wa Libya ndio uwafananishe na hawa Galaxy ambao hata kupiga mpira hawawezi, physic hawana
Haupo serious kabisa bt u have to aacept your lucky of getting weak opponent