FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

Kauli mbiu ya Uto ilikuwa Return from Nigeria. Mungu akaibariki

Sijasikia kauli mbiu ya Simba kwenye mechi ya leo!
 
Simba ishinde goli nyingi kwa vibonde kama hawa.
 
IMG_9504.jpg

Kikosi Cha Simba kinacho anza leo.
 
Nawaombea Simba ushindi ila hivi vitimu vidogo huwa vinasumbua sana.
 
Kila la kheri Wabotswana, baba wa Taifa alituambia Afrika ni moja na sote ni ndugu!
kabisaa mkuu bora tushangalie wabotswana
hawa makolo wana timu mbovu mpaka wanatia kichefuchefu kuwaangalia
yamejaa majina tu timu haina muunganiko wanabutuabutua tu mpira kama wachezaji wa faru dume

sijui kwa nini hawajifunzi kucheza mpira mzuri kama yanga

nyie mapaka fc hebu jifunzeni kwa yanga wanacheza kama brazil ile ya kina vava garicha na pele unapata raha kuwatazama
 
Inahitaji ujasiri wa kifisadi kuwa shabiki wa Utopolo
 
Back
Top Bottom