FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

Hawa jamaa wazembe sana. Hawajui ku defend corners. Magoli mawili yanayofanana.
 
Piga galaxy haoooo fumua fumua betri
 
kabisaa mkuu bora tushangalie wabotswana
hawa makolo wana timu mbovu mpaka wanatia kichefuchefu kuwaangalia
yamejaa majina tu timu haina muunganiko wanabutuabutua tu mpira kama wachezaji wa faru dume

sijui kwa nini hawajifunzi kucheza mpira mzuri kama yanga

nyie mapaka fc hebu jifunzeni kwa yanga wanacheza kama brazil ile ya kina vava garicha na pele unapata raha kuwatazama
Heri mkuu!!?
 
Nipo uwanjani hapa katika mji wa Gaborone-Uwanja wa Taifa

Benchi la ufundi la simba wanaroga sana kwa kumwaga kama unga flani hivi kwenye nyasi za uwanja

Huu uchawi wao ukikubali, wanaweza kushinda hii game
Aliyekuambia unga ni uchawi nani?

Mbona tungeiona azam ikichukua back to back mara 4
 
Back
Top Bottom