FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

kabisaa mkuu bora tushangalie wabotswana
hawa makolo wana timu mbovu mpaka wanatia kichefuchefu kuwaangalia
yamejaa majina tu timu haina muunganiko wanabutuabutua tu mpira kama wachezaji wa faru dume

sijui kwa nini hawajifunzi kucheza mpira mzuri kama yanga

nyie mapaka fc hebu jifunzeni kwa yanga wanacheza kama brazil ile ya kina vava garicha na pele unapata raha kuwatazama
We mwenzetu mwenye timu nzuri si ulikuwemo humu! Sasa kimekushinda nini mpaka kukalia umbea,,, we tulia wanaume wakupambanie mwakani upande tena ndege
 
Back
Top Bottom