Haya kaka
Mechi saa ngapi? Channel zipi zinaonyesha
Asante sana mkuu.Saa 10 jioni kwa saa za Tanzania. Azam Wanaonesha
Nakumbuka nilipokuwa mdogo wa miaka 8 ndio nilianza kuipenda hii timu ya Jwaneng Galaxy timu yangu ya mtaani kabisa
kabisaa mkuu bora tushangalie wabotswanaKila la kheri Wabotswana, baba wa Taifa alituambia Afrika ni moja na sote ni ndugu!
Mimi mwenyewe saivi nina 13, ulidhani mimi ni mkubwa mkuuTimu imeanzishwa mwaka 2015 wewe ulianza kuipenda ukiwa na Miaka 8, Mbona Haviendani
Kuwa Hater Ni Kazi Sana [emoji28][emoji28]
Mimi mwenyewe saivi nina 13, ulidhani mimi ni mkubwa mkuu
Amekwambia umri wake?Timu imeanzishwa mwaka 2015 wewe ulianza kuipenda ukiwa na Miaka 8, Mbona Haviendani
Kuwa Hater Ni Kazi Sana [emoji28][emoji28]
kabisaa mkuu bora tushangalie wabotswana
hawa makolo wana timu mbovu mpaka wanatia kichefuchefu kuwaangalia
yamejaa majina tu timu haina muunganiko wanabutuabutua tu mpira kama wachezaji wa faru dume
sijui kwa nini hawajifunzi kucheza mpira mzuri kama yanga
nyie mapaka fc hebu jifunzeni kwa yanga wanacheza kama brazil ile ya kina vava garicha na pele unapata raha kuwatazama