kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Wamevuka hatua moja ambayo utopolo walishindwaHiv hi timu au kitu gani
Heri mkuu!!?kabisaa mkuu bora tushangalie wabotswana
hawa makolo wana timu mbovu mpaka wanatia kichefuchefu kuwaangalia
yamejaa majina tu timu haina muunganiko wanabutuabutua tu mpira kama wachezaji wa faru dume
sijui kwa nini hawajifunzi kucheza mpira mzuri kama yanga
nyie mapaka fc hebu jifunzeni kwa yanga wanacheza kama brazil ile ya kina vava garicha na pele unapata raha kuwatazama
Tatizo uto mnaloga sana, mkienda kimataifa round ya kwanza nje.Hawa jamaa wazembe sana. Hawajui ku defend corners. Magoli mawili yanayofanana.
Kumbe tangu udogoni umekuwa mpenzi wa timu mbovu?Nakumbuka nilipokuwa mdogo wa miaka 8 ndio nilianza kuipenda hii timu ya Jwaneng Galaxy timu yangu ya mtaani kabisa
tulia wewe mwanaume kazini, skizia vishindo hivyoHapa hamna timu kabisa
Aliyekuambia unga ni uchawi nani?Nipo uwanjani hapa katika mji wa Gaborone-Uwanja wa Taifa
Benchi la ufundi la simba wanaroga sana kwa kumwaga kama unga flani hivi kwenye nyasi za uwanja
Huu uchawi wao ukikubali, wanaweza kushinda hii game